Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 61 kuboresha miundombinu ya zahanati ya kijiji cha Lumecha Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.
Akisoma taarifa ya mradi huo kwa sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma Mganga Mkuu wa Zahanati hiyo amesema fedha hizo zinajenga choo cha matundu matatu,ujenzi wa kichomea taka,ukarabati wa chumba cha uzazi na uchimbaji wa kisima cha maji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.