SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa Zaidi ya tani 113,000 za mbolea ya ruzuku katika mkoa wa Ruvuma katika msimu wa mwaka 2023/2024.
Kiasi hicho cha mbolea ya ruzuku kilichotolewa mkoani Ruvuma ni kikubwa ukilinganisha na mbolea ya ruzuku iliyotolewa katika mikoa mingine nchini.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.