SERIKALI inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 12 kujenga sekondari mpya 20 mkoani Ruvuma.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema amesema serikali imetoa fedha hizo kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP)
Ameongeza kuwa serikali pia imefanya Upanuzi wa shule nane (8) ya Sekondari Emmanuel Nchimbi, Mpitimbi, Jenista Mhagama, Pamoja, Masonya,Mchoteka,Mataka na Tunduru. Mradi huu unahusisha ujenzi wa madarasa 51, mabweni 24 na matundu ya vyoo 93 kwa gharama ya shilingi bilioni 4.447.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.