SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imeleta vifaa vya TEHAMA kupitia mradi wa BOOST katika Halmashauri ya Madaba wilaya ya Songea mkoani Ruvuma kwaajili ya kituo cha mafunzo kazini kwa walimu wa Shule za Msingi (TRC) katika Halmashauri hiyo.
Kituo hicho kitakuwa katika Shule ya Msingi Madaba, ambapo Afisa Elimu Takwimu na Vifaa Raphael Kibirigi amekabidhi vifaa hivyo kwa Mkuu wa Shule ya Msingi Madaba Victor Luoga ikiwa Computer tano na priter moja.
Mkuu wa Shule hiyo Mwl.Luoga ameipongeza Serikali kwa kuhakikisha inaleta vifaa vitakavyosaidia walimu kujifunza na kujiongezea maarifa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.