Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Louis Chomboko akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa kliniki ya kudhibiti na kutibu saratani kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.
Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo uliofanyika katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea (HOMSO) alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas aliyewakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.