WAJUMBE wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya kudhibiti mbolea Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wake Profesa Anthony Mshandete wametembelea shamba kubwa la AVIV ambalo lipo katika kijiji cha Lipokela wilayani Songea mkoani Ruvuma.Shamba hilo lenye kubwa wa hekta 1,800 linafanya kilimo cha umwagiliaji katika zao la kahawa ambapo hadi sasa Kampuni hiyo imetoa miche bora ya kahawa zaidi ya laki saba kwa wakulima 1500.
Wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya TFRA wakiwa katika kiwanda cha kukoboa kahawa kinachomilikiwa na Kampuni ya AVIV
Wajumbe wa kurugenzi ya Bodi ya Mamlaka ya kudhibiti Mbolea Tanzania TFRA baada ya kumaliza ziara yao ya kutembelea shamba kubwa la Mwekezaji AVIV eneo la Lipokela wilayani Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.