Pichani wa kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akizungumza baada ya kukagua mradi wa shule ya msingi ya mchepuo wa kiingereza inayoitwa Chifu Zulu Academy inayojengwa na serikali katika kata ya Mshangano Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma
Shule hiyo inajengwa na Manispaa ya Songea kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 500 fedha za mapato ya ndani.
Shule inatarajia kuanza kuchukua wanafunzi Januari 2024 ambapo hadi sasa nafasi zimejaa kutokana na maombi mengi yaliyowasilishwa huku Ujenzi wa mradi huo bado unaendelea
Dkt Msonde yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.