Muonekano wa majengo ya shule mpya ya msingi ya Chief Songea Mbano iliyojengwa katika Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Serikali imetoa shilingi milioni 513 kupitia Program ya BOOST kujenga shule hiyo mpya ambayo imeanza kuchukua wanafunzi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.