Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Damas Ndumbaro anatarajia kuzindua tamasha la kitaifa la utamaduni Septemba 20 mwaka huu katika uwanja wa Majimaji mjini Songea ,tamasha hilo linatarajiwa kufungwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Majimaji mjini Songea Septemba 23 mwaka huu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.