MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema hivi sasa soko la zao la soya ni kubwa mkoani Ruvuma ambapo wanunuzi wa ndani pekee wanahitaji zaidi ya tani 200,000 ya zao hilo wakati uzalishaji wa zao la soya mkoani Ruvuma msimu wa mwaka 2019/2020 na 2020/2021 ni tani 10,000 tu.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=-Keh8_T3th0
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.