Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Ndugu Neema Maghembe akifurahi baada ya kupongezwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde kwa kusimamia vizuri miradi ya elimu inayotekelezwa kwenye Halmashauri hiyo.
Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya kukagua miradi mbalimbali ya elimu inayotekelezwa na serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.