KUELEKEA kumbukizi ya mashujaa wa vita ya Majimaji mwezi huu,picha hii ilipigwa muda mfupi kabla ya Jemedari wa wangoni Nduna Songea Mbano kuuawa na wajerumani mwaka 1906.
Picha ya chini ni mashujaa 66 wa vita ya Majimaji wakisubiri kunyongwa na wajerumani mwaka 1906 katika eneo la Songea Klub ambako walinyongwa na kisha kuzikwa ndani ya Makumbusho ya Taifa Majimaji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.