Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhe Kapenjama Ndile, pamoja akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mwl. Neema Maghembe wakiwa kwenye kikao na Walimu Wakuu wa Shule za Msingi na Sekondari, Maafisa Elimu Kata, Maafisa Tarafa, na Watendaji wa Vijiji na Kata katika Halmashauri hiyo Kwa lengo la kufanya tathmini ya idadi ya wanafunzi waliojiunga na Elimu ya awali, darasa la Kwanza na kidato cha Kwanza.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.