• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SONGEA walivyoadhimisha miaka 61 ya Muungano

Imewekwa kuanzia tarehe: April 27th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Songea, Mhe. Kapenjama Ndile, amewaongoza wananchi wa Wilaya ya Songea kuadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanzania, ambapo tarehe 26 Aprili 1964 nchi ya Tanganyika na Zanzibar ziliungana.

Maadhimisho hayo ambayo yalitanguliwa na shughuli mbalimbali kama upandaji wa miti na usafi wa mazingira katika Wilaya ya Songea, yalianza kwa maandamano ya amani na kuhitimishwa kwa hafla fupi katika viwanja ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Songea  iliyopo manispaa ya Songea.

Akizungumza katika maadhimisho hayo, Mhe. Ndile, amesema wananchi wanapaswa kujua Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni jitihada za watu na viongozi wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika ili kulifanya Taifa liwe moja, lenye watu wanaoheshimiana, wanaoelewana na kuthaminiana utu.

Ameongeza kuwa kama Taifa linatakiwa kujivunia umoja na mshikamano uliopo baina ya watu wote nchini bila kujali desturi na maeneo wanayotokea kwa kuwa ndio msingi imara wa amani katika Taifa.

Ametoa wito kwa watumishi  wa umma na wananchi wote kuwa watiifu na waaminifu kwa Taifa na kuepuka kutoa kauli ambazo zinaweza kusababisha uvunjifu wa amani ili kuhakikisha Taifa linaepuka machafuko yayiso na msingi.

Akitoa historia ya Muungano wa Tanzania, Mwenyekiti wa Wazee Wilaya ya Songea, Sofia Namananda, amesema waasisi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Abeid Aman Karume, walikuwa na maono ya mbali katika kuhakikisha nchi inakuwa na mshikamano na umoja wa kujenga Taifa Moja la Tanzania.

Ameeleza kuwa hivi sasa Taifa linajivunia matunda ya nguvu walizotumia waasisi hao, kwa kuwa walifanya kazi kubwa mpaka hivi sasa wananchi wanaishi kwa amani na utulivu, hivyo wanaliombea Taifa liendelee kuwa na amani na utulivu.

Kwa upande wake Mkazi wa Wilaya ya Songea, Mohamed Kwizombe, amesema maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanzania kama mwananchi anajivunia  amani na utulivu uliopo katika Taifa hivyo amani idumishwe hadi kufikia vizazi vijavyo.

Maadhimisho hayo ya miaka 61 ya Muungano wa Tanzania,  ambao ulifanyika Arili 26, 1964 na kuasisiwa na Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Hayati Abeid Aman Karume, kwa mwaka huu wa 2025 yameongozwa na kauli mbiu inayosema " Muungano Wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa , Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025".

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • BODI ya kwanza ya maji yazinduliwa Tunduru

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.