Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho amesema mfumo wa Stakabadhi ghalani upo kwenye ilani ya CCM
Akizungumza kwenye majumuisho ya vikao maalum vya mabaraza ya madiwani ya kujadili taarifa ya CAG iliyofanyika kwenye ukumbi wa Skyway mjini Tunduru Komred Mwisho amesisitiza mfumo huo uendelee kutumika kuuza mazao yanayouzwa kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.