Pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) na Mbunge wa jimbo la Songea Vijijini Mheshimiwa Jenista Mhagama akimsikiliza Mhandisi wakati akielezea picha yenye mchoro wa stendi mpya ya mabasi ikionyesha hatua mbalimbali za ujenzi ambayo itajengwa katika kata ya Rundusi iliyopo mji mdogo wa Peramiho katika Halmashauri ya wilaya Songea ambapo ujenzi wake utagharimu kiasi cha fedha milioni 482.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.