SAINT Teresa Orphans Foundation(STOF) ni Taasisi isiyokuwa na kiserikali iliyoanzishwa mwaka 2001 na inafanyakazi katika nchi mbili za Tanzania na Marekani.STOF ilianzishwa awali kwa lengo la kusaidia watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu mkoani Ruvuma,kisha kuanzisha shule zake ili kusogeza huduma ya elimu kwa jamii wakiwemo watoto ambao walikuwa wanalelewa na STOF.
Soma makala kwa kina hapa TAASISI ya STOF Tanzania inavyoboresha sekta ya elimu mkoani Ruvuma .pdf
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.