• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

TAKUKURU Ruvuma yabaini mapungufu miradi mitano ya bilioni saba

Imewekwa kuanzia tarehe: August 22nd, 2024

TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Ruvuma,katika kipindi cha miezi sita imefuatilia jumla ya miradi 31 yenye thamani ya Sh.bilioni 19,681,124,604.63 kati ya hiyo miradi mitano yenye thamani ya Sh.bilioni 7,053,240,916.51 imebainika kuwa na mapungufu.

Naibu Mkuu wa Takukuru mkoani Ruvuma Janeth Haule, ameitaja miradi iliyokutwa na upungufu ni ya sekta ya elimu,miundombinu na barabara na hatua mbalimbali zimechukuliwa na ili kuondoa mapungufu hayo.

Ameitaja miradi hiyo kuwa ni ujenzi wa soko katika Halmashauri ya Madaba wenye thamani ya Sh.milioni 171,176,339.00 ambapo bati 98 zimenunuliwa zaidi ya mahitaji na manunuzi ya Terazo kinyume na taratibu za manunuzi.


Miradi mingine ni mradi wa maji Nangombo-Kilosa unaojengwa na Mkandarasi Contructions Of Gravity Pumping Water Supply kwa gharama ya Sh.bilioni 4.1 ambaye ameshindwa kuendelea na kazi kutokana na kuisha kwa mkataba kabla hajamaliza kazi.


Aidha mradi wa ukarabati wa Zahanati ya Litolomelo wenye gharama ya Sh.milioni 50 ambao kamati ya manunuzi na mapokezi zilifanya udanganyifu kwenye fedha za ukarabati na kupokea vifaa vya ujenzi wa mradi huo vikiwa pungufu.

Kwa mujibu wa Haule, mradi  mwingine ni  ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya msingi Nakawale Halmashauri Namtumbo wenye thamani ya Sh.milioni 80.

Amesema,ujenzi wa tanki la maji Mchomoro wilayani Namtumbo wenye thamani ya Sh. bilioni mbili  ambapo miradi yote haijakamilika kwa muda uliopangwa.

Haule ametoa wito kwa wananchi wa mkoa wa Ruvuma kuendelea kuunga mkono jitihada za kufichua vitendo vya rushwa na wala rushwa kwa kutoa taarifa sahihi zitakazowezesha kuwachukulia hatua wahusika hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Serikali za Mitaa.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.