Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma imeanza ziara ya kutambulisha miradi mipya ya Tasaf Kwa kufanya mikutano ya hadhara katika vijiji vya wilaya ya Namtumbo .
Lengo la kutambulisha miradi hiyo ni pamoja na kutoka elimu Kwa wananchi namna ya kutekeleza miradi mipya ya Tasaf Kwa mfumo wa ajira ya muda Kwa lengo la kuwaongezea kipato wanufaika hao wa Tasaf.
Hata hivyo wananchi wanspewa elimu ya namna ya utekelezaji wa ajira ya muda Kwa ajili ya kuwaongezea kipato na kupitia mikutano hiyo wananchi wamefurahia elimu hiyo kutoka Kwa wataalamu na kufurahia elimu hiyo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.