• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

TRA Ruvuma wakabidhiwa tuzo kwa kuvuka malengo ukusanyaji mapato

Imewekwa kuanzia tarehe: April 23rd, 2021

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewakabidhi rasmi wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Mkoa wa Ruvuma tuzo waliopewa baada ya kuvuka malengo ya ukusanyaji kwa asilimia 114.

Akizungumza kabla ya kukabidhiwa tuzo hiyo katika hafla iliyofanyika ukumbi wa TRA mjini Songea,Meneja wa TRA mkoani Ruvuma Amina Ndumbogani amesema katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Machi 2021 wamefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 13 kati ya lengo la kukusanya zaidi ya sh.bilioni 12.

“Tumeweza kuvuka malengo yaliyowekwa katika kipindi cha Julai 2020 hadi Machi 2021 kwa asilimia 110,makusanyo hayo ni ongezeko la asilimia 11’’,alisema Ndumbogani.

Hata hivyo Meneja huyo ameyataja makusanyo ya ya kodi ya ndani katika kipindi hicho  yalikuwa ni zaidi ya shilingi bilioni 13 na kuvuka lengo la zaidi ya shilingi bilioni 11 hivyo kuvuka lengo kwa asilimia 114.

“Tunapenda leo utukabidhi rasmi tuzo ya ngao ya ushindi tuliopewa Arusha Januari mwaka huu baada ya kuvuka malengo ya kipindi cha miezi sita,kuanzia Julai hadi Desemba 2020’’,alisema.

Amesema kwa mwezi Machi mwaka huu,TRA Ruvuma ililenga kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 1.417 ambapo makusanyo halisi yalifikia zaidi ya shilingi bilioni 2.356 sawa na asilimia 166.

Akizungumza baada ya kukabidhi tuzo hiyo,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewapongeza TRA kwa kufanyakazi kwa ufanisi mkubwa  hali iliyosababisha kuvuka malengo ya ukusanyaji mapato.

“Tuzo mliopewa ni heshima kwa TRA na wadau wa kodi wa Mkoa wa Ruvuma,tuzo hii inaonesha namna mlivyotambulika kitaifa,tuzo hii iwe chachu ya kuongeza bidii ili kuvuka malengo ya matarajio ya serikali’’,alisisitiza Mndeme.

TRA ilianzishwa mwaka 1996 kupitia sheria namba 11 ya mwaka 1995 ikibainisha majukumu yake makubwa kuwa ni kukadiria,kukusanya na kuhasibu mapato yote ya serikali kuu.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Mkoa wa Ruvuma

Aprili 23,2021

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.