MOJA ya maonesho ya bidhaa ambayo yanavutia wengi,ni trekta dogo rafiki wa mkulima lililopo katika maonesho ya nanenane Mkoa wa Riuvuma kwenye viwanja vya nanenane Msamala mjini Songea.Trekta hilo lina uwezo wa kulima hekari moja kwa nusu saa kwa kutumia mafuta lita mbili tu hali ambayo inamwezesha mkulima kupata faida kubwa iwapo atanunua trekta hilo ambalo linauzwa kwa gharama nafuu.Ili kufahamu kwa k,ina kuhusiana na trekta rafiki wa mkulima TAZAMA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=RmvW4fHmP-k
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.