Muonekano wa jengo la kisasa la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma ambalo limejengwa katika eneo la Kiamili makao makuu ya Halmashauri hiyo,Jengo hili lilizinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Septemba 2024 alipofanya ziara ya kikazi mkoani Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.