“Nitumie fursa hii kuwapongeza Ndugu zetu wa RUWASA hakika mnafanya kazi kubwa ,mradi ni mzuri una viwango vinavyolingana na thamani ya fedha “,alisema Ndugu Abdalla Shaib Kaim Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 baada ya kukagua mradi wa maji katika kijiji cha Mbangamawe Halmashauri ya Madaba Aprili 19,2023.
Serikali imetoa shilingi milioni 545 kutekeleza mradi huo kupitia RUWASA.Mwenge wa Uhuru Kitaifa ukiwa katika Wilaya ya Tunduru pia uliipongeza RUWASA kwa mradi wa maji wenye ubora katika kijiji cha Muhuwesi uliogharimu shilingi milioni 175.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.