Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mheshimiwa Julius Mtatiro amewakata Wafugaji ambao wanaingiza makundi ya mifugo bila kibali kwenye maeneo ambayo hawajatengewa kwa shughuli za ufugaji kuacha mara moja
Hayo ameyasema katika kikao maalum cha baraza la madiwani cha kujadili hoja na mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), leo Juni 26,2023 ambacho kilimefanyika kwenye ukumbi wa SkyWay mjini Tunduru.
"Wafugaji wote waende kulisha kwenye vitalu ambavyo wametengewa na Halmashauri sisi kama Wilaya hatupo tayari kuona ufugaji huu holela ukiendelea katika Wilaya Tunduru na tupo tayari kuwaondoa wafugaji wote holela ambao awajafuata utaratibu mimi pamoja uongozi wa Halmashauri tulishapanga maeneo kwa ajili ya wafugaji hatupo hapa kuwaonea bali tunatekeleza Sheria "amesema Mtatiro.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.