WANUFAIKA wa TASAF Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wameelezea walivyonufaika na Mradi huo katika kipindi cha miaka nane.
Wakielezea hisia zao wanufaika wa mradi huo ambao unaendelea kubadilisha maisha ya kaya masikini na kuwainua kutoka hatua moja na kwenda nyingine nchini Tanzania.
Akitoa ufafanuzi Exavelia Mlimila Mratibu wa TASAF Mkoa wa Ruvuma amesema kuwa wanufaika hao wanapokea ruzuku yao kwa mwaka mara sita kila baada ya miezi 2.
“ katika ruzuku hiyo imegawanyika katika makundi mawili kundi la kwanza ni ruzuku ya msingi na kundi la pili ni fedha wanazopokea kutokana na ajira ya muda”.
Imeandaliwa na Bahati Nyoni
Kutoka Ofisi ya Habari ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma
Januari 28,2022
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.