MAFUNZO ya mtandao wa jamii wa usimamizi wa misitu Tanzania yanayofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Sweden SIDA kupitia Shirika la uhifadhi wa Wanyamapori na Mazingira Duniani (WWF) yanafanyika katika kijiji cha Mkowela Wilayani Tunduru kwa wa siku tatu
Mafunzo hayo yanalenga kuboresha ufuatiliaji wa uwajibikaji katika jamii, vile vile, kuimarisha ushirikiano wa vikundi vya mtandao huo kwa manufaa ya usimamizi endelevu wa misitu nchini Tanzania. Mafunzo hayo yamekutanisha makundi manne, ambayo ni;Halmashauri ya Kijiji, kamati ya maliasili,Jamii wenye ushawishi na Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.