• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

TUNDURU yaibuka Mshindi Kitaaluma mashindano ya UMISSETA MKOA

Imewekwa kuanzia tarehe: August 4th, 2022

MICHEZO ya UMISSETA  Mkoa wa Ruvuma imefungwa rasmi kwaajili ya kwenda kushiriki kitaifa Mkoani Tabora.

Michezo hiyo imefanyika katika Chuo cha Ualimu Songea na imefungwa na  Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Steven Ndaki .

Ndaki amewapongeza kwa kufikia hatua ya mashindano na kupata fursa ya kushiri kitaifa Mkoani Tabora kuanzia Agosti 8,2022 watakuwa wanasafiri.

“Mlianza Ngazi ya Madarasa pale Shuleni mkafika Shule kwa Shule Kata,Wilaya  na Halmashauri hadi Mkoa kwa kweli mmeonyesha juhudi sana”.

Ndaki ametoa rai kwa Viongozi kuwa vitu vizuri vinagharama na bila kufanya hivyo matunda hayawezi kupatikana.

“Mnatakiwa kujua mchezaji bora hutumia fedha nyingi sana katika kuandaa maandalizi  kwa mantiki hiyo siyo lelemama hatuwezi kukwepa gharama”.

Amesema kwa kuwa tunatarajia vijana kurudi na ushindi lazima viongozi mmpambane kuwaandaa vizuri na mwisho wa mashindano hayo ni mwanzo wa mashindano mengine.

Afisa Michezo wa Mkoa wa Ruvuma Antony Luoga akisoma taarifa kwa mgeni rasmi amesema mashinda ya Umisseta nyanakuja baada ya Umitashumta kufanyika ambayo yalianza Julai 17 hadi 27 Julai ikiwa wanafunzi 120 na Viongozi 20 waliwakilisha Mkoa katika Mashindano ya Taifa Tabora.

“Tupo kuandaa Timu nyingine ya UMISSETA  ambayo Agosti 8,2022 Jumla ya wanamishezo 120 na Viongozi 17 watasafiri kuelekea Tabora”.

Afisa Michezo amesema mashindano ya Mwaka huu katika ngazi ya Mkoa imeanzishwa katika taaluma ambapo kila shule katika Halmashauri imetakiwa kuleta wanafunzi Mahili katika masomo ya Hisabati,Kingereza, Kiswahili kwa kidato cha pili cha tatu na kidato cha Nne ili kuongeza Hamasa katika Taaluma kwa Vijana.

Kufuatia Mashindano hayo amesema kwa mwaka huu 2022 Kitaaluma Wilaya ya Tunduru imeongoza  na kuchua nafasi ya Kwanza Kimkoa.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Serikalni  Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Agosti 4,2022.

 

 

 

 

 

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2022
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2022
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 July 31, 2025
  • OR TAMISEMI yatoa Mwongozo kwa wanafunzi wa kidato cha Tano kubadilisha Shule tahasusi June 06, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • IBUGE Akabidhi ofisi rasmi

    August 06, 2022
  • RUVUMA Kinara chanjo ya UVIKO 19

    August 06, 2022
  • JENERALI Ibuge akabidhi ofisi kwa Kanali Laban

    August 06, 2022
  • WAKULIMA Ruvuma wajifunza teknolojia Mpya

    August 05, 2022
  • Tazama zote

Video

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA SENSA KWA MAKARANI NA WASIAMAMIZI WA MAUDHUHI
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.