Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma Grace Quetine ameahidi kutekeleza maagizo ya Timu ya Menejimenti Mkoa iliyoongozwa na Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki kwenye ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri hiyo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.