Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa jimbo la Tunduru Kusini mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi kwenye ufunguzi huo alikuwa ni Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho Mheshimiwa Jenista Mhagama.
Uzinduzi wa kampeni hizo umefanyika katika Kata ya Mchoteka ambapo viongozi mbalimbai wakiwemo wabunge walishiriki kwenye uzinduzi huo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.