UJENZI WA BARABARA YA LAMI NZITO LIKUYUFUSI-MKENDA KUANZA Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa amesema mradi wa ujenzi barabara ya lami kilometa 60 kutoka Likufusi hadi Mkayukayu wilayani Songea mkoani Ruvuma unaanza mwaka huu ambapo serikali imetenga shilingi bilioni 60 kuanza kutekeleza mradi huo.Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mpitimbi wilayani Songea amesema sanjari na barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 125,serikali pia inatarajia kujenga daraja jipya la zege la Mkenda lililopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.