CHAMA kikuu cha Ushirika Mbinga kinatekeleza mradi wa ukabarati wa hoteli ya MBICU unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni moja.Ukarabati huo ambao unafanyika kwa awamu unatarajia kuchukua miaka mitatu.Kaimu Meneja wa MBIFACU Henrick Ndimbo anaelezea zaidi https://www.youtube.com/watch?v=k70ivnO-EZM&t=16s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.