MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza baada ya kukagua mradi wa sekondari mpya ya Nakayaya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.Serikali imetoa shilingi milioni 470 kupitia mradi wa kuboresha Elimu ya sekondari (SEQUIP) kujenga shule hii inayotarajia kuanza kuchukua wanafunzi mwakani
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.