Menejimenti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki imekagua mradi wa ujenzi wa madarasa matatu yaliyogharimu shilingi milioni 60 katika shule ya sekondari ya Limbo wilaya ya Nyasa Akizungumza baada ya kukagua mradi huo Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma ameipongeza Halmashauri ya Nyasa kwa kutekeleza mradi huo ambao umekamilika na wanafunzi wameanza kuyatumia.
Hata hivyo Ndaki ameitaja changamoto kubwa katika utekelezaji wa miradi ni usimamizi hafifu hasa katika umaliziaji kwenye framu na milango
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.