MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge bado anaendelea na ziara zake katika Halmashauri mbalimbali za Mkoa wa Ruvuma,kukagua miradi ya maendeleo iliyomalizika na inayoendelea ili kubaini iwapo kiwango cha fedha zilizotolewa zinafanana na ubora wa mradi.Hapa ni Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwenye mradi wa ofisi ya udhibiti wa Ubora wa elimu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.