Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kuhakikisha anasimamia kikamilifu ujenzi wa shule mpya tatu za sekondari zinazojengwa kupitia Mradi wa Uboreshaji Elimu ya sekondari (SEQUIP).Shule zinazojengwa kupitia mradi huo ni Sekondari ya Nakayaya,Majimaji na Lukumbule ambapo kila shule imepewa shilingi milioni 470 ili kutekeleza mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.