Ushoroba wa Selous/Niassa ambao unapita katika wilaya za Namtumbo na Tunduru mkoani Ruvuma unatajwa kuwa ndiyo eneo pekee duniani lililobakiwa na makundi makubwa ya tembo,ushoroba huo ambao unaunganisha Hifadhi ya Taifa ya Nyerere unaendelea nchini Msumbiji hadi nchi ya Afrika ya Kusini.ili kufahamu umuhimu wa ushoroba huu Tazama makala haya kwa kinahttps://www.youtube.com/watch?v=eWAQHlG6lH8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.