Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhe, Kapenjama Ndile akikagua ujenzi wa uzio ambao umejengwa kama sehemu ambayo inatarajia kumfugia Mamba kwa siku zijazo katika bustani ya wanyama pori ya Ruhila, lengo ni kuendelea kuutangaza utalii katika Mkoa wa Ruvuma ambapo hivi karibuni tayari Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imewaleta Simba wa wili katika bustani hiyo ya wanyama pori ya Ruhila iliyopo Mjini Songea Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.