MOJA ya shughuli kubwa inayowaingizia mapato wananchi wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ni uvuvi katika ziwa Nyasa.Ziwa Nyasa linatajwa kuwa na aina mbalimbali za samaki wakiwemo samaki wa mapambo.wananchi wa Nyasa hupata chakula na fedha kupiitia samaki wanaovuliwa katika ziwa Nyasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.