Kuelekea maadhimisho ya miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan,hapa ni muonekano wa kituo cha afya Kata ya Kihagara wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ambacho kina uwezo wa kutoa huduma zote muhimu ikiwemo upasuaji hali iliyopunguza kero kwa wananchi kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.