Wiki ya unyonyeshaji duniani imezinduliwa mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi kwenye hafla hiyo ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ambaye amewakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhe Kapenjama Ndile, uzinduzi wa kampeni hiyo umefanyika katika Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea.
Kampeni ya unyonyeshaji duniani hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe1 August na maadhimisho uwa tarehe7 August na kauli mbiu mwaka huu ikisema "Saidia unyonyeshaji, kuwezesha Wazazi kulea Watoto na kufanya kazi zao kila siku"
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.