Katikati ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mary Makondo akipokea maandamano ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dkt.Samia Suluhu Hassan iliyopo Namtumbo kwenye uznduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ambao ngazi ya Mkoa umefanyika kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Dkt.Samia ambapo wadau mbalimbali wakiongozwa na Jeshi la Polisi wameshiriki kwenye uzunduzi huo uliobeba kaulimbiu ya kuelekea miaka zaidi ya 30 ya Beijing;chagua kutokomeza ukatili wa kijinsia
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.