Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mary Makondo amefanya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ngazi ya Mkoa wa Ruvuma katika ukumbi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Dkt.Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Namtumbo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.