Kamanda wa polisi mkoani Ruvuma ACP Simon Marwa ameanza kutekeleza maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma katika mapambano dhidi ya Corona kwa kupiga marufuku wapiga debe kuwashika abiria na mizigo yao hali ambayo inaweza kuchangia maambukizo ya Corona.TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.