UWT Mkoa wa Ruvuma imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kukabiliana na virusi vya corona kwa Jeshi la Magereza Mkoa wa Ruvuma.Vifaa hivyo vimekabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katika hafla fupi iliyofanyika nje ya viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma.TAZAMA HABARI kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=ZjG0zYIc7g8&t=9s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.