WACHIMBAJI wadogo katika Mkoa wa Ruvuma wamepewa mafunzo ambayo yatawawezesha kufanyakazi za uchimbaji kwa tija na ufanisi.Mafunzo hayo yamefunguliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila na kushirikisha wadau kutoka wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma.Tazama zaidi hapa https://www.habarileo.co.tz/habari/2021-05-1660a13c3a73193.aspx
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.