Jumla ya wafanyabiashara ndogondogo 70 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wamekabidhiwa vitambulisho na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga, Bi. Pendo Ndumbaro
Vitambulisho hivyo vinawasaidia wafanyabiashara kutambulika rasmi na mamlaka mbalimbali, hususan Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na taasisi za kifedha.
Hatua hii inaisaidia Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kutambua idadi ya wafanyabiashara ndogondogo katika eneo hilo, jambo litakalosaidia kuboresha miundombinu rafiki ya kibiashara.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.