• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WAFUGAJI Tunduru waomba kusogezewa huduma ya uchunguzi wa kifua kikuu

Imewekwa kuanzia tarehe: July 17th, 2023

WANANCHI wa jamii ya kifugaji wilayani Tunduru,wameiomba serikali  kuwasogezea huduma za  afya ikiwemo  za uchunguzi wa ugonjwa wa kifua kikuu katika maeneo yao ili kuepusha uwezekano wa kuambukizwa ugonjwa huo.

Wametoa ombi hilo jana,kwa wataalam wa kitengo cha kifua kikuu na ukoma kutoka Hospitali ya wilaya Tunduru wakati wa kampeni ya uelimishaji na uchunguzi wa vimelea vya ugonjwa huo kwa jamii ya wafugaji  wanaoishi katika kijiji cha Mkowela wilayani humo.

Samwel Mandalu(65) alisema,wakati umefika kwa serikali kutoa upendeleo  kwa kuwajengea zahanati katika maeneo yao ili waweze kupata  huduma za afya ikiwemo uchunguzi wa ugonjwa kifua kikuu.

Alisema,kutokana na mazingira na shughuli zao kufanyika mbali na makazi  ya watu wengine inakuwa vigumu kufikiwa na elimu ya afya mara kwa mara.Alisema,watashukuru iwapo serikali  itapeleka huduma za afya kwenye maeneo yao ili iwe rahisi kupata elimu juu ya ugonjwa wa kifua kikuu na magonjwa mengine.

Alisema kuwa,wafugaji wengi wanaishi kwenye vitalu maeneo ya porini ambako wanategemea dawa za asili  tu kama tiba ya maradhi yao huku baadhi yao hawajawahi kukutana na wataalam wala kufika Hospitali katika maisha yao yote.

Kwa upande wake Mganga mfawidhi  wa zahanati ya Mkowela Dkt Neema Msangilwa alisema,kwa mwaka 2022 walifanikiwa kuibua wagonjwa 100 wa kifua kikuu.

Alisema,wagonjwa hao walipatikana kupitia kampeni mbalimbali zinazofanyika na wengine walipatikana kupitia dalili zinazoonyesha wanapofika  zahanati kwa ajili ya kupata matibabu.

Alisema kijiji cha Mkowela kina zaidi ya watu elfu mbili,hivyo watu 100 wenye kifua kikuu ni wengi mno,ambapo ameiomba serikali kuendelea kufanya kampeni hizo mara kwa mara ili kupunguza maambukizi ya ugonjwa huo.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • BODI ya kwanza ya maji yazinduliwa Tunduru

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.