Wahifadhi wa Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA wapatao 97 wamehitimu kozi tatu tofauti katika chuo cha Mafunzo ya Uhifadhi Maliasili cha Likuyuseka Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.
Mafunzo hayo yamefungwa Septemba 30 mwaka huu na mgeni rasmi Naibu Kamishna Uhifadhi TANAPA Herman Batiho Kwenye hafla fupi iliyofanyika chuoni hapo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.