BODI ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Kudhibiti Mbolea Tanzania TFRA ikiongozwa na Mwenyekiti wake Profesa Anthony Mshandete wametembelea magahala yanayohifadhi mbolea katika Manispaa ya Songea na kuzungumza na waagizaji na wauzaji wa mbolea.
Katikati aliyeshika mbolea mkononi ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya kudhibiti mbolea Tanzania TFRA Profesa Anthony Mshandete akiwa na wajumbe wa bodi wakiwa katika ghala la kuhifadhia mbolea la ETG mjini Songea
Moja ya magahala ya kuhifadhia mbolea yaliyopo manispaa ya Songea ambayo yametembelewa na wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya kudhibiti mbolea Tanzania TFRA.Maghala yaliyotembelewa ni Kampuni ya Minjingu,ETG, na Premium Agro Chem Ltd,DRTC
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.