WAJUMBE wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania TFRA wamefanya mazungumza na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ofisini kwake mjini Songea ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mbolea duniani ambayo mwaka huu yanafanyika mkoani Ruvuma kuanzia Oktoba 11 hadi 13.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.